
MTOTO AKAA ICU SIKU 60, HOSPITALI YATUMIA MILIONI 10 KUMTIBU Renatha Msungu,Dodoma Novemba 11, 2023, Bi. Janeth (35), mkazi wa Manyoni Singida, alifika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) baada ya kukaa siku saba katika Hospitali ya Wilaya ya Manyoni akiimuuguza...