
📌 *Asema upelekaji umeme vitongojini umefikia asilimia 52.3*📌 *Asisitiza umeme kufika maeneo ya uchimbaji madini*Na Mwandishi Wetu,DodomaNAIBU Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA),...