
Na Mwandishi wetu,DodomaWAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo ametaja mafanikio makubwa na mikakati kabambe inayolenga kukuza...