Cherehani ahoji mkakati wa Serikali kuondoa katikatika ya umeme Ushetu

MBUNGE WA USHETU EMMANUE CHEREHANI

 Na Joyce  Kasiki,Dodoma

SHIRIKA la umeme nchini (TANESCO) lina mpango wa muda mfupi wa Kujenga kituo  eneo la  Nyamirangano Halmashauri ya Ushetu ili kuondoa kero ya kukatikatika wa umeme katika Hamashaui ya Ushetu.

Hayo ymesemwa.leo Nov 2,2023 na Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga bungeni jijini Dodoma wakati Akijibu swali la Mbunge wa Ushetu Emmañuel Chereheni ambaye katika  swali lake  alitaka  kujua mkakati wa Serikali wa kupeleka umeme  katika halmashauri za Ushetu ,Msalala na Kahama .

Kapinga amesema  kupitia kituo hicho TANESCO itaongeza njia nyingine kutokea halmashauri za  Ushetu,Msalala na Kahama ambazo zitasaidia kuboresha upatikanaji wa  umeme  huku akisema mradi huo wenye thamani ya shilingi bili 1.2 inatarajiwa kukamilika 2024.

Akiuliza swali la.nyongeza Cherehani amesema Hali ya umeme katika wilaya Kahama imekuwa ni shida na hivyo kupeleka wafanyabiashara kushinda wamekaa siku nzima bila kufanya kazi kutokana na kukatikankwa.umeme kutwa nzima.

Cherehani pia ametaja kujua kama Naibu Waziri huyo yupo tayari kwenda kujionea Hali halisi lakini pia ametakq kujua  mkakati wa Serikali wa kuipa wilaya ya Kahama kuwa.mkoa wa KITANESCO kutokana na eneo hilo kukua kwa kasi .

Akijibu maswali hayo Kapinga amesema yupo tayari kwenda Kahama kujionea Hali halisi ya kukatika kwa umeme  lakini amesema Serikali itaendelea kuona kama Kahama inafaa kuwa mkoa wa KITANESCO.

Aidha Kapinga  ameilekeza TANESCO na kituo kidogo Cha pamoja Cha Grid ,wahakikishe maeneo yote yanapata umeme kulingana na  maboresho yanayofanyika

Share:

No comments:

Post a Comment

Theme Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Labels

Recent Posts

Unordered List

  • Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  • Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  • Vestibulum auctor dapibus neque.

Pages

Theme Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.