Serikali imetoa taarifa ya mwenendo wa UVIKO 19 tangu Machi 2020 hadi Mei 4 mwaka huu ambapo kumekuwa na jumla ya watu 33,916 waliothibitika kuwa na UVIKO-19 huku vifo vikiwa ni 803.
Home »
» Watu zaidi ya 33 ,000 waugua UVIKO 19 huku 803 wakifariki tangu kuibuka kwa ugonjwa huo nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment